BurudaniVideos

Ex wa Victor Wanyama, Tracy Macniven kuja na kipindi cha mapishi runingani (Video)

Mrembo wa Kenya, Tracy Macniven aliyewahi kuwa na uhusiano na mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo anayechezea klabu ya Tottenham Hotspur, Victor Wanyama, anatarajia kuja na kipindi cha mapishi.

trace-1

Tracey ambaye amesomea fani ya upishi, ameiambia Bongo5 kuwa kipindi chake kitakuwa na utofauti mkubwa.

trace-4

Amesema atakuwa akisafiri katika nchi nyingi kwaajili ya kutambua mapishi mbalimbali.

“Kitakuwa ni kipindi cha kutravel, kuja hata hapa Tanzania, just testing the food, trying, critiquing,” amesema.

trace-3

Amesema kwa sasa bado yupo kwenye hatua ya kujipanga. Tracey amesema amewahi kufanya biashara ya kutoa huduma ya chakula na kwamba mama yake anamiliki migahawa kadhaa ya chakula nchini humo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents