Michezo

Everton ya Uingereza kutua nchini hivi karibuni

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekutana na wawakilishi wa timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza,\ kumpa taarifa Waziri huyo kuhusu uwezekano wa kuileta timu hiyo kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki hapa nchini.

Aidha Waziri Mahiga alisema ziara hiyo itasaidia kuitangaza Tanzania duniani pamoja na kuhamasisha mchezo wa mpira wa miguu kwa vijana wa Kitanzania.

Hizi ni baadhi ya picha walizopiga kwa za pamoja:

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents