Burudani

Enrico adai ubora wa muziki wa Bongo Flava umeshuka

Mtayarishaji wa muziki wa Sound Crafters, Enrico amesema nyimbo zote zinazotoka miaka ya hivi karibuni hazina ubora sababu ambayo anadai inasababisha zisidumu.

enrico

“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea,” alisema. “Hakuna
Bongo Flava ya kukaa miaka miwili,” Enrico aliambia E-Newz ya EATV

Pia Enrico alisema ili wimbo uwe mkali na udumu kwa muda mrefu, unatakiwa uwe na utunzi mzuri wenye mashairi bora na yenye vina vinavyoeleza uhalisia wa maisha ya sasa tofauti na nyimbo za siku hizi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents