Burudani

Eminem aomba radhi kwenye wimbo mpya ‘Guts Over Fear’, baada ya kumdis Iggy Azalea na kutishia kumbaka

Siku chache baada ya kutoa wimbo uliomdis na kumtishia kumbaka rapper wa kike Iggy Azalea, Eminem ameomba radhi kwenye wimbo mpya alioutoa uitwao ‘Guts Over Fear’.

eminem

Eminem ameomba radhi kwa maumivu aliyoyasababisha kutokana na mashairi yake kwenye wimbo uitwao ‘Vegas’ ambao alimchana rapper huyo wa Australia.

“It just breaks my heart to look at all the pain I caused,” amerap Eminem kwenye wimbo mpya.

Ameendelea kurap,

“The pain spawns all the anger on, but it wasn’t until I put the pain in song, learned who to aim it on, that I made a spark.
Started to spit hard as s***, learned how to harness it while the reins were off… But the crazy part was soon as I stopped saying I gave a f*** haters started to appreciate my art.”

Eminem amemshirikisha muimbaji wa Australia, Sia kwenye wimbo huo mpya ambao unapatikana kwenye album yake mpya ‘Shady XV’,

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents