Burudani

Eid 2: TID kumdondosha Naziz kwenye ‘listening party’ ya album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’

Top in Dar, Khalid Mohamed atafanya party ya kusikiliza album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’ siku ya Eid Pili kwenye ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam.

10177482_10152351637558749_7826879971245323066_n

Katika party hiyo, rapper wa kundi la Necessary Noize la Kenya, Naziz ambaye ameshirikishwa pia kwenye album hiyo atakuwepo kumsindikiza.

TID ameiambia Bongo5 kuwa uzinduzi rasmi wa album hiyo utafanyika baadaye na amepanga kuufanya kuwa uzinduzi ‘corporate’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents