Bongo5 MakalaBurudani

Editor’s Pick: Kushamiri kwa page za ‘TeamNanihinoo’ kwenye Instagram na jinsi umbea, matusi na siri zinavyovujishwa (Audio)

Instagram ni mtandao wa kijamii uliopata umaarufu mkubwa nchini Tanzania. Pamoja na kupendwa na watu wengi kwa namna ulivyo sehemu nzuri ya kuweka picha za matukio mbalimbali, siku za hivi karibuni mtandao huo umegeuka kuwa sehemu maarufu kwa umbea na kuvuja kwa siri nzito hususan za uhusiano wa mapenzi wa mastaa, wanawake kutukanana, watu kuongea ya moyoni pale wanapokerwa na mambo mengine.

insta

Kwenye Editor’s Pick leo, mhariri anaangalia kushamiri kwa kurasa za Instagram zinazoanzia na neno ‘Team’, mfano TeamPenny, TeamLulu, TeamWema, TeamDiva na mengine. Kwenye sehemu ya leo, mhariri anaingalia mahsusi page inayoitwa ‘TeamChaggaBarbie’ iliyojipatia umaarufu kwa kuandika umbea.

Sikiliza hapa:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents