Burudani

EBSS: Washiriki 12 watumbuiza, namba za kuwapigia kura zatangazwa

Watangazaji wa EBSS Caesar Daniel na Vanessa Mdee

Show ya pili ya EBSS imeonyeshwa jana kupitia ITV. Washiriki walioingia 12 bora
waliimba mbele ya majaji, na kwa mara nyingine tena walipata kusikia maoni
ya majaji kuhusu uimbaji wao. Vilevile namba za kuwapigia kura washiriki hao
zilitangazwa.

Hizi ni miomngoni mwa picha za show hiyo iliyofanyika Budget Resort Kunduchi, Dar es Salaam.

Mshiriki wa Dar es Salaam, Salma Mahin akionesha vitu vyake
Salma Yusuf akiingia jukwaani
Menynah Atiki EBSS04
Nshoma Ng’hangasamala – EBSS07
Caesar Daniel mtangazaji wa EBSS akipozi kwa ajili ya picha na washiriki Vincent Mushi – EBSS10(kushoto) na Godfrey Levis (kulia).
Husna Nassor – EBSS02 (kulia) na Nsami Nkwambi – EBSS06 (kushoto) wakipose kwa ajili ya picha
Caesar Daniel akipozi kwa ajili ya picha na washiriki wa ebss Wababa Mtuka – EBSS11(kushoto) Linias Mhaya – EBSS03(kulia)
Walter Chilambo – EBSS12

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents