Burudani
East Africa Beach Party: Roma, Juma Nature, Afande Sele na wengine kutumbuiza, 30 August
Juma Nature, Roma, Afande Sele, Joslin, Inspector Haroun, Baraka Da Prince na wasanii wengine wanatarajiwa kutumbuiza Jumamosi hii kwenye East Africa Beach Party itakayofanyika Azura Beach Resort, Mikocheni jijini Dar.
Show hiyo itapambwa pia na MaDJ wakali wa Tanzania wakiwemo Tass, Mafuvu, PQ na Zero huku Kenya akiwakilisha DJ Crème na Dj Cross Fade na Uganda akija DJ Quest.