Burudani

Dully Sykes aelezea maana ya wimbo wake ‘Togola’

Dully Sykes ana wimbo mpya uitwayo Togola uliotengenezwa katika studio zake za 4.12. Akiongea na EFM hivi karibuni, Dully alidai kuwa Togola ni salam ya kabila la kizigua.

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/160357898″ params=”auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&visual=true” width=”100%” height=”450″ iframe=”true” /]

“Togola maana yake kama salamu tu, kizigua hicho,” alisema Dully. Unajua mwanaume unapokuwa mwenyewe huna partner ndani ya gari inabidi uanze kutizamatizama nikasema ‘mtizame’ lakini kutizamatizama unaweza kumuona mmoja wapo nje ukashusha kioo ukasema ‘hello, habari yako, salama’ hapo tayari ushatogola. Na ndio maana inamaanisha hii nyimbo kuwa ‘wewe bado ni kijana na unataka msichana wa maana’, msichana wa maana ni yule ambaye yupo tayari kuolewa.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents