Burudani

Dully ndani ya Friday Night Bils

By  | 

dully-sykes
Mwanamuziki mkali ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Bongo Fleva anatarajia kuwa kivutio kikubwa katika usiku wa jumapili pale Bilicanas katika usiku wa Friday Night ambapo atapiga vibao vyake vikali ambavyo mwenyewe anaaamini vitaleta msisismko mkubwa.

 

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments