Burudani
Dulayo azindua video Billc
Muimbaji wa muziki wa kizazi kipya Dulayo Jumapili iliyopita amezindua wimbo wake wa Twende na mie, ambao umekuwa gumzo kwenye Night Club.
Akizungumza na Bongo5, alisema wimbo huo ambayo video yake alifanyia katika studio ya Dk Marcon, utafanya vizuri kwenye video kwakuwa audio ilikamata sana.
Pia aliomba mashabiki wakae mkao wa kula kwani ana nyimbo nyingi zinakuja.