Burudani

Dudu Baya: Sijabahatika kumpata mwanamke ninayemtaka, nakutana na machizi

Msanii wa Hip Hop kutokea Mwanza, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amesema kuwa majanga anayopata kwenye mahusiano yake yanatokana na kutompata mwanamke anayemhitaji.

Akizungumza na Mkasi TV hivi karibuni, Dudu Baya amesema wanawake wengi anaokutana nao wanakuwa ni machizi.

“Kwanza sijabahatika kukutana na mwanake ambae mimi namtaka, nafikiri Mungu bado hajanipa huwaga nakutana na machizi, kwa sababu mimi sipendi mwanamke aliyelelewa na kufundwa vizuri vitu vya ndani huwezi ukavitoa nje. Kwa mimi binafsi siongelEI wanaume wengine, napenda sana siri za familia zibaki kuwa siri za familia. Kwa mfano huyu jinsi alivyoenda kwenye media asitarajie nimtamrudia kabisa, ile tabia ya kwenda kwa jirani na kanga moja ikianguka? Kweli kabisa kicheni party zinaendelea lakini hazisaidii kitu chochote,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents