Burudani

Drama: Rihanna amchokoza Chris Brown kwa kumuita ‘Queen’!

Si jambo la kushangaza sana kwa drama zinazoendelea kati ya Chris Brown na Rihanna sababu zinaashiria kuna uwezekano bado kuna chembe chembe za mapenzi kati yao ndio maana haipiti siku bila mmoja kati yao kumrushia mwenzie ujumbe wa mafumbo.

Riri-1

Jana (June 3) Rihanna mwenye umri wa miaka 25 ametweet “Baby how you gon’ be a King when you acting like a Queen?!”, tweet inayoonekana kumlenga Chris Brown. Really! Chris Brown a Queen??

Sababu kubwa za kuhisi huo ni ujumbe wa mpenzi wake wa zamani ni sababu hii si mara ya kwanza kwa Rihanna kumchallenge Chris kwa tweet za aina hiyo, (May 11) aliandika tweet nyingine iliyosomeka “Got a thang for King, but chu ain’t a King!!!”

Kwa sasa Rihanna anaendelea na tour yake ya Diamonds barani ulaya na Chris Brown anaendelea na kazi ya kurekodi nyimbo mpya huko Marekani huku akiutumia muda wake mwingi na mrembo Karrueche Tran.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents