Burudani

Drake azidi kusherehekea mafanikio ya muziki wake mwaka huu

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio makubwa kwa rapper Drake kupitia kwenye maisha yake ya muziki.

Wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha Wizkid na Kyla umefanikiwa kutengeneza rekodi yake nyingine kwenye mtandao wa Spotify baada ya kusikilizwa mara bilioni moja.

Wakati huo huo albamu yake ya ‘Views’ imesikilizwa zaidi ya mara bilioni tatu kwenye mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents