Burudani

Drake asogeza mbele ratiba ya ziara yake ya ‘Boy Meets World’ barani Ulaya

Rapper Drake amesogeza mbele tarehe ya ziara yake ya ‘Boy Meets World’ katika bara la Ulaya iliyotakiwa kuanza Januari 21 mwaka huu.

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na meneja wa Drake, ratiba ya miji ya Amsterdam, London na Glasgow ambayo rapper huyo alitakiwa kufanya show imesogezwa mbele. “We would like to inform you that shows on the ‘Boy Meets World Tour’ in Amsterdam, London, Glasgow are being moved to new dates,” imesema ripoti hiyo.

Ripoti hiyo imeendelea kwa kusema, “Drake wanted to create a special experience for fans in Europe and the UK so he has added some incredible new features to an already specular production. Unfortunately due to unforeseen production setbacks it will need a little more time to be ready. Drake can’t wait to see all his fans so he can deliver an amazing and memorable experience.”

Sasa show ya Glasgow iliyotakiwa kufanyika kuanzia Januari 25 na 26 imepangwa kufanyika Machi 22-23 na ile iliyopangwa kufanyika Januari 28 katika mji wa London imesogezwa mbele mpaka Machi 20.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents