Burudani

Drake aondoka SA baada ya kumaliza kushoot video yake

Rapper kutoka Marekani, Drake ameondoka nchini Afrika Kusini baada ya kumaliza kushoot video yake nchini humo baada ya kukaa kwa muda.

tcpcf3d1dgbw2qb1576385d14c94c

Baada ya kutembelea kwenye kituo cha Nelson Mandela Centre of Memory mjini Johannesburg, Drake alisema, “I want to encourage you to do everything you can to make your future here as bright as you possibly can and make your dreams come true. We all have some end goal or some dream. I’ve been doing this to try to make the place I’m from proud, and if I can do it so can you. And this is definitely one of the most beautiful places in the world.”

Wimbo wa Drake ‘One Dance’ aliomshirikisha Kyla na Wizkid unashika namba moja kwenye chati za Billboard, lakini bado haijajulikana ni video ya wimbo gani ambayo Drake alienda kushoot nchini humo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents