Burudani

Drake amdiss kiana Donald Trump mjini London

Drake ni miongoni mwa mastaa wasiomuunga mkono Rais wa Marekani, Donald Trump kutokana na sera zake.

Muimbaji huyo Jumapili iliyopita alimdiss kiaina Rais huyo kwenye show yake ya ‘Boy Meets World Tour’ ya mjini London japo hakumtaja jina la Trump moja kwa moja, alisema kila siku akiamka anaona upuuzi unazidi kuendelea duniani.

“Every day I wake up, I see all this bullshit going on in the world, people trying to tear us apart, people trying to make us turn against each other,” alisema Drake katika show hiyo.

“So tonight, my proudest moment isn’t selling tickets or having people sing my songs. My proudest moment: If you take a look around in this room, you’ll see people from all races and all places and all we did tonight was come inside this building, show love, celebrate life, more life, and more music.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents