Burudani

Drake aeleza sababu ya kutouweka wimbo aliowashirikisha Jay Z na Kanye West kwenye Views

Kumpata Jay Z akaingiza sauti kwenye wimbo ni kitu kigumu ambacho hata Drake kimemshinda.

Bing Presents 4th Annual Two Kings Dinner And After Party

Ni kwasababu akiongea na Zane Lowe kuzungumzia kutoka kwa album yake ya nne, Views, Drake amesema ilimbidi asiuweke wimbo aliowashirikisha Hov na Kanye West sababu Jay aliweka mistari miwili tu kwenye wimbo huo na ambayo Kanye ndiye aliyeingiza.

“Jay didn’t really do a verse. Really ‘Ye just sent it to me like that. He said, ‘Jay just did my first few lines for me…People want to hear Jay rap,’” alisema Drake.

Drake anasema pamoja na kumheshimu sana Jay Z, wawili hao huwa hawakubaliana mara kwa mara kuhusu muziki.

“I’ve expressed my admiration and respect for Jay countless times. Sometimes we just fall on opposite ends of the spectrum when it comes to the rap world,” anasema Drake.

Kwenye interview hiyo Drake pia alisema hajawahi kuzungumza na Nicki Minaj tangu bifu yake na Meek Mill.

“I don’t really talk to Nicki. Again, another person that I have a lot of love and respect for. Not only for our past and how much work and time we put it, but even just the way she dealt with the [Meek Mill] situation at hand,” he said. “I understand what love is, and I understand a personal situation. She dealt with me how I expected her to, which was with class, and I could only ever do the same. There were points when I would sit there and go, ‘Okay, how’s this gonna go? How deep is your love?’ I’ll always have respect and love for Nicki.”

Album hiyo inapatikana kwenye Apple Music tu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents