Burudani

Dongo kwa Diamond? Jux adai yeye na Vanessa hawafanyi project wala series!!

Jux na Vanessa Mdee hawafanyi project wala series kama ilivyo kwa Diamond na Zari the Bosslady.

wpid-10903372_860878923952023_314361227_n.jpg

Baada ya kuwepo kwa tetesi kwa kipindi kirefu kuhusiana na uhusiano hao, wawili jao jana waliamua kuweka hadharani kuwa si marafiki tu bali ni wapenzi.

Leo, Jux ametweet: Dongo kwa Diamond? Jux adai yeye na Vanessa hawafanyi project wala series!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents