Burudani

Don Jazzy: Wazazi wa D’Banj ndio walitupatia fedha za kufungulia Mo’Hits Records na kushoot video ya kwanza

Ukaribu wa Don Jazzy na D’banj ni zaidi ya ndugu.

Jazzy amefunguka kuwa fedha za kufungulia lebo ya Mo Hits mwaka 2004 walipatiwa na wazazi wa D’Banj ikiwa ni pamoja na kulipiwa video ya wimbo wao wa kwanza kabla ya kutengana na kila mtu kufungua lebo yake binafsi.

Wakati akijibu baadhi ya maswali ya washiriki wa Big Brother Naija, Don alisema, “D’banj and I sat down and agreed that now that we’re going to be putting out songs, we need to have a record label, but then we did not have money. D’banj is from a wealthy family, his parents put in some money, they gave us money to shoot our first video. I then decided that since we’re partners we’re going to share the profit 50/50.”

Kwa sasa Jazzy anamiliki lebo yake ya mavin Records aliyoianzisha mwaka 2012 na D’banj anamiliki DB Records.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents