Promotion
Dj Tass (Magic FM) kudondosha ‘Touch za Afrika’ Nyumbani Lounge Jumamosi hii
Wapenzi wa muziki wa Kiafrika wanaweza kuitumia weekend yao vizuri kwa kujumuika na DJ Tass wa Magic FM kwenye party ya ‘Touch za Afrika’ itakayofanyika Nyumbani Lounge Jumamosi hii.