Burudani

Dj Khaled awataja mastaa wengine watakaoshiriki katika albamu yake mpya

Baada ya Dj Khaled kuwataja Chance the Rapper, Justin Bieber na Alicia Keys kushiriki katika albamu yake mpya, rapper huyo amewataja mastaa wengine watakaokuwepo.

Kupitia mtandao wa Instagram Dj Khaled ameonyesha wazi kuwa albamu yake inayokuja ni moto kwa kuwaongeza mastaa wengine akiwemo Travis Scott, Mariah Carey na Migos.

“????Did I tell you IM UP TO SOMETHING!!!!! @migos did the @migos vocals come in!!!! Fan luv everyTING TOP SECRET!!! FAN LUV I WILL BE RELEASING THE TITLE FOR MY NEW ALBUM !!SOON COME !! @wethebestmusic @epicrecords @rocnation ???????????????????????????????????????????? my new album will be EXECUTIVE PRODUCER BY MY SON ASAHD KHALED!!!! ???????? ???? @IvanBerrios1021,” ameandika rapper huyo katika moja ya picha aliyoiweka katika mtandao huo.

Wakati huo huo katika picha nyingine ameandika, “???? @travisscott @mariahcarey @djkhaled we jus viben … @epicrecords #BeEpic ???? @IvanBerrios1021.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents