Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Dj Khaled ataja jina la albamu yake mpya

By  | 

Baada ya Dj Khaled kuachia albamu yake ya tisa ‘Major Key’ ambayo imefanya vizuri mpaka kwenye chati mbalimbali kubwa duniani, sasa rapper huyo ametaja jina la albamu yake mpya ijayo.

Akiongea Alhamisi hii katika hoteli ya Beverly Hills akiwa na mkewe pamoja na mwanae Asahd, rapper huyo amesema kuwa albamu yake mpya itaitwa jina la Grateful.

“The title is Grateful. This title means so much to me. Especially coming off Major Key and seeing that love…The message here today is love. Love is the key and love is the answer.”

Albamu hiyo itawakutanisha mastaa kibao akiwemo Chance The Rapper, Travis Scott, Mariah Carey, Bryson Tiller, Future, Alicia Keys na wengine.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW