Burudani

Dj Khaled ajipanga kuachia albamu mpya, Chance the Rapper, Justin Bieber, Alicia Keys ndani

Baada ya kufanya vizuri na albamu yake ya ‘Major Key’ aliyoiachia Julai 29 mwaka jana na kufanikiwa kushika namba moja katika chati za Billboard 200, rapper Dj Khaled anajiandaa kuachia albamu nyingine.

Imedaiwa kuwa albamu hiyo itawashirikisha mastaa kibao akiwemo Chance the Rapper, Justin Bieber, Alicia Keys na wengine. Wakati huo huo, Khaled amepost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Chance the Rapper studio wakionekana kuingiza sauti.

“IM UP TO SOMETHING ALERT!! Fan luv here’s a update !!! @chancetherapper is in the booth ! FAN LUV REMEMBER EVERYTING TOP SECRET !! @wethebestmusic!!!! ???????????????????????????????? #DJKHALED NEW ALBUM IN THE WORKS !,” ameandika Dj Khaled katika picha hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents