Burudani

Diva: You need to leave brother of the nation (Zitto) alone


Wakati mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akikumbwa na kashfa nzito ya rushwa, mtangazaji wa Clouds Fm Loveness aka Diva ameibuka na kusema watu waache kumfuata fuata mbunge huyo ambaye yeye amempa jina la ‘Kaka wa Taifa’.
Kupitia tovuti yake,mtangazaji huyo wa Ala za Roho ambaye kwa sasa anataka aitwe Diva Alnoor Raheem Aziz ameandika:
“To me nimekuwa nikimsikiliza Zitto for like forever , Grown Up nikiwa nasikiliza anavyo fight na whatever kinachotusumbua wananchi wa hali ya chini na wananchi wa kawaida kama mimi hapa na nimekuwa inspired sana na politics because of him , to me he is my inspiration, role model ,voice to the voiceless.
TRULY BROTHER OF THE NATION.
As Ommy Dimpoz says he is the Sign of a victory and i don’t know what to say than ametuvuta vijana wengi kuangalia Bunge. Ngoja nitumie LUGHA YETU VIJANA , Always huwa anakinukisha Mjengoni,Mnyama Unyamani…. umeona banaaaa, I know u got me , we gotcha ya back yay.”
Diva aliendelea kusema, “He is one of those MP’s ambae akisimama akiongea Bungeni this is what every Person in this country atasema.
DAMN IT ZITTO KABWE IS UP AGAIN,Niggah doing it big ..whoo hoo!!
Think before hajalala anatuwaza sana sisi wananchi wenye shida sana na kiukweli done did.
VOICE TO THE VOICELESS!!
SALUTE TO BROTHER OF THE NATION ZITTO KABWE
And Whatever going on……..realistic this is Insane , He cant be that stupid yaani ,so got ya back as your fans, we love you and care for you.”
Jana kupita Twitter, mbunge huyo alisema imembidi afanye mkutano na waandishi wa habari kuzizingumzia shutuma hizo kwa kuamini kuwa kukaa kimya ni ‘silaha kwa adui’.
“Baada ya kushauriana na viongozi wa chama, wabunge na washauri mbalimbali imeonekana kuwa ‘Press Conference’ ifanyike Jumatano, Dodoma.”
“Kwa masaa 3 nimejieleza mbele ya sekretariat ya chama kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yangu. Niliomba kutaka kutoa maelezo kwa katibu Mkuu. Nimetaka chama changu kufanya uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi,” aliandika Zitto.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents