Burudani

Diva atoa msaada kwenye kituo cha watoto yatima cha Al Madina Children Home

Mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva jana aliongozana na baadhi ya wasanii wa THT waliokuwa wakitimiza miaka saba katika kituo cha Al Madina Children Home kilichopo Magomeni Tandale Uzuri maeneo ya Yemeni jijini Dar es Salaam kutoa misaada mbalimbali kusaidia watoto wanaoishi kwenye kituo hicho.

Hiyo ilikuwa ni awamu nyingine kwa mtangazaji huyo kutoa misaada katika mradi wake wa Diva Giving for Charity. Katika ziara hiyo Diva na ujumbe wake walipata chakula cha mchana kwa pamoja na watoto hao.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents