Burudani

Diss ya Tyga kwa 21 Savage yamweka pabaya mpenzi wake Kylie Jenner

Baada ya rapper Tyga kumdiss 21 Savage kwenye wimbo wa ‘My Heart (remix)’ ugomvi umehamia kwa mwanadada Kylie Jenner.

21

Ijumaa iliyopita mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa Tyga alipost kipande cha video kwenye mtandao wa Twitter akiimba wimbo huo sehemu inayosema, “Why you got one car in a 12-car garage? Suckin’ dick for a Ferrari / Don’t forget to lick the balls.”

Rapper 21 alijibu mapigo kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka picha ya mrembo huyo kutoka familia ya The Kardashians na kuandika mistari ya wimbo wa Drake aliowahi kumdiss Meek Mill ‘Back to Back’.

“shoutout to my boss b****** wifing niggas,” aliandika Savage.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents