Michezo

Dimitar Berbatov ammwagia sifa Zlatan Ibrahimovic

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya soka ya Manchester United, Dimitar Berbatov amemsifika Zlatan Ibrahimovic na kudai kuwa mchezaji huyo ana uwezo wa kucheza soka kwa miaka miwili zaidi japo umri wake umekuwa mkubwa.

Akiongea na Times, Berbatov amesema kuwa japo umri umekuwa kikwazo kwa mshambuliaji huyo lakini amekuwa na uwezo mkubwa wa kufunga magoli lakini pia amemsifia na kiungo wa Everton, Gareth Barry mwenye umri sawa na Ibrahimovic.

I don’t think anyone said that [age would be an issue for Ibrahimovic] because he is a player at the top level where the way he plays, he can play for another two years, maybe more. He has that class and understanding of the game and also when to push himself and not waste energy, just the right moment at the right time and he’s there scoring goals,” amesema Berbatov.

“He has football intelligence and then of course you have Gareth Barry at Everton. I tend to watch the older players to see how they are playing and I admire both of them because, at this age, in football, it is very difficult to maintain a high level of performance and for both those players to do this is worthy of admiration,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents