Michezo

Didier Drogba bado yupo yupo sana ligi ya Marekani

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea Didier Drogba bado anataka kuendelea kucheza kwenye ligi Amerika Kaskazini daraja la pili kwa mujibu wa mtandao wa Pioneer Press.

Drogba ambaye kwasasa ana umri wa miaka 39, anakaribia kufanya mkataba na timu ya USL Phoenix Rising, ambako ataungana na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Uingereza Sahun Wright-Philips.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents