Michezo

Didier Drogba azindua nguo zake za ndani (underwear)

Didier Drogba amezindua nguo zake za ndani kwaajili ya wanaume ambapo asilimia ya mauzo ya kila moja zitaenda kwenye taasisi yake ya msaada.

article-2606694-1D27E48200000578-894_306x446

Mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea ameungana na kampuni ya Marseille, Ufaransa iitwayo HOM kutengeneza nguo hizo zitakazoingia sokoni May 1. Kupitia Instagram, mchezaji huyo mwenye miaka 36 aliandika:

‘I’m very proud to announce the launch of my underwear brand. The first underwear brand that will be launched to support a foundation, my foundation, The didierdrogbafoundation. ‘By producing my own line of underwear I’m able to achieve two goals; to design a fashionable men’s underwear range, and to create a product that will directly support my charitable foundation – to aid in healthcare and education in the Ivory Coast.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents