Michezo

Didier Drogba arejea Chelsea FC kwa mkataba wa mwaka mmoja

Club ya Chelsea FC imetangaza kuwa imemrudisha kundini mshambuliaji Didier Drogba. Drogba ambaye alikiacha kikosi hicho mwaka 2012, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo.

drogba2

Baada ya kusaini mkataba mpya Drogba alisema:

“Ulikuwa ni uamuzi rahisi- Sikuweza kukataa fursa ya kufanya kazi tena na Jose. Kila mmoja anafahamu uhusiano wa kipekee nilionao na club hii na nimekuwa nikijisia kama nyumbani”.

Didier Drogba

Aliendelea,
“My desire to win is still the same and I look forward to the opportunity to help this team. I am excited for this next chapter of my career.”

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho nae alikuwa na haya ya kusema kuhusu Drogba:

“He’s coming because he’s one of the best strikers in Europe. I know his personality very well and I know if he comes back he’s not protected by history or what he’s done for this club previously. He is coming with the mentality to make more history.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents