Burudani

Diddy atoa msaada wa $1m kwenye chuo kikuu cha Howard

Kutoa ni moyo na si utajiri. Rapper tajiri zaidi duniani kutoka Marekani, Sean John Combs maarufu kama Diddy ametoa msaada wa kiasi cha dola milioni 1 kwa ajili ya kusaidia Chuo Kikuu cha Howard.

diddy

Diddy alitoa fedha hizo wiki hii wakati alipofanya onesho la ziara yake ya Bad Boy Family Reunion Tour kwenye mji wa Washington DC. Fedha hizo zitasaidia baadhi ya wanafunzi kupata Scholarship kwa ajili ya kujiunga kwenye chuo hiko cha biashara.

Kupitia mtandao wa Instagram, rapper huyo ameandika, “I was blessed to receive a great education from Howard University! It helped to fuel my success in business and life. This scholarship will make it possible for the next generation of leaders to pursue their dreams and achieve greatness!”

“When I delivered the commencement address at Howard, I asked the students “Do you know how powerful you are?” I know that Howard students are intelligent, talented, passionate, and their hard work will shape the future. This gift will make sure the whole world knows what they are capable of doing!!.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents