BurudaniDiamond Platnumz

Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo za MTVMAMA, anawania vipengele viwili

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za MTV Africa Music Awards (MAMA) KwaZulu-Natal.

diamond3

Muimbaji huyo wa Tanzania anawania vipengele viwili. Katika kipengele cha kwanza cha Best Male, Diamond anachuana na Best Male Anselmo Ralph, Davido, Donald na Wizkid. Katika kipengele cha wimbo bora wa ushirikiano, Best Collabo, wimbo wake ‘My Number 1’ aliomshirikisha Davido, unapambana na ‘Happiness’ wa Mafikizolo f/May D, ‘Kiboko Changu’ wa Amani f/ Radio and Weasel, ‘Slow Down’ wa 2Rbees ft Wizkid na ‘Y-tjukutja’ wa Uhuru f/DJ Bucks, Oskido.

Kupitia Instagram Diamond ameandika: Naamini kutokana na support kubwa toka kwa media, mashabiki, Wasanii na wadau mbalimbali ndio zimesababisha mimi kuteuliwa na kuwa mmoja wa wakilishi katika tunzo hizi… kiukweli nawashkuru sana, tena sana… Tafadhari naomba mzidi kuniwekea nguvu na support zaidi ya mwanzo ili tuweze kutwaa tunzo hizi…na kuleta sifa na Heshima nyumbani….)

Hata hivyo Diamond si Mtanzania pekee aliyetajwa kwenye tuzo hizo bali yupo pia mbunifu wa nguo, Anisa Ami Mpungwe aliyeanzisha kampuni ya Loin Cloth & Ashes yenye makazi yake nchini Afrika Kusini aliyetajwa kuwania tuzo ya ‘Transform Today by Absolut.

blog8
Anisa Ami Mpungwe

Kupitia Instagram, Mpungwe ameandika: This pretty cool!! An MTV Award nominee is cool!! I feel cool!! (I wish they said Tanzania/South Africa though) #mtvbase #transformtodayaward

Hii ndio orodha nzima:

MUSIC CATEGORIES

Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)

Best Female:
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)

Best Group:
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)

Best New Act:
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)
Uhuru (South Africa)

Best Live Act:
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)

Best Collaboration:
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)

Artist of the Year:
Davido (Nigeria)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)

Song of the Year:
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee – ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)

Best Hip Hop:
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)

Best Pop:
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa)
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)

Best Alternative:
Gangs of Ballet (South Africa)
Michael Loman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)

Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)
Youssoupha (Congo)

Best Lusophone:
Anselmo Ralph (Angola)
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)

NON MUSIC CATEGORIES

Personality of the Year:
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)

Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)

Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya June 7, 2014, Durban International Convention Centre (ICC).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents