BurudaniPicha

Diamond na Zari kukava jarida la Mamas and Papas la SA

Wakati wakisubiri ujio wa prince kwenye familia yao atakayeungana na Princess Tiffah kutengeneza familia moja yenye furaha, Zari na Diamond walikuwa busy wiki hii kupiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini.

15276769_215105932269827_4517378316247760896_n

Kupitia Instagram, Diamond amepost picha hiyo juu na kuandika: Earlier today during our @MamasnPapasMag Shoot…. @zarithebosslady.”

Naye Zari kwenye picha aliyoweka kwenye akaunti yake ameandika: Earlier this morning while getting all glammed up for my baby bump photoshoot. My son could arrive any day from now????????.”

15305951_989904737822222_8309672239175827456_n

Jumatatu hii Zari alitarajiwa kujifungua. Mama mkwe wake, Sandra ameungana na mwanae kumsubiria mtoto huyo wa pili na wa kwanza wa kiume wa Diamond.

15306132_1301467143238055_8512285212535685120_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents