Burudani

Diamond kutumbuiza kwenye Road to MAMA na wasanii wa Nigeria Ijumaa hii, Lagos

Diamond Platnumz ambaye yuko nchini Nigeria akifanya media tour ya kuitangaza single yake mpya ‘Nana’, anatarajiwa pia kutumbuiza kwenye show ya MTV Road to MAMA itakayofanyika Ijumaa hii July 3, jijini Lagos.

Road to mama-lagos

Platnumz ataungana na wasanii wa Nigeria akiwemo Iyanya ambaye ameshafanya naye collabo, Yemi Alade, Phyno, Olamide na wengine waliopangwa kutumbuiza katika show hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents