BurudaniDiamond Platnumz

Diamond, Davido na Tiwa Savage kuwa watumbuizaji wakuu kwenye show ya ‘Africa Unplugged’ London

Diamond Platnumz, Davido na Tiwa Savage watakuwa watumbuizaji wakuu (headline performers) kwenye show kubwa zaidi ya Afrika jijini London, Uingereza, Africa Unplugged.

BuOgVDUIcAAhz6Y.jpg large

Show hiyo itafanyika September 14 kwenye ukumbi wa O2 ACADEMY BRIXTON jijini London wenye uwezo wa kuchukua watu 4,921.

“Honestly nimebahatika kufanya show nyingi sana UK, lakini kiukweli show hii nimeipania sana… Nia na Lengo langu kubwa ni kuuonesha ulimwengu kuwa ni kias gani East Africa tumejaaliwa uwezo kwenye sanaa ya Muziki. .Tafadhari kama ni mkazi wa UK ama una ndugu ama jamaa anaishi UK, naomba umfikishie ujumbe huu ili kwa pamoja tareh 14/09/2014 tujumuike pale O2 Academy na kushuhudia burudani nzuri toka kwa mtoto wenu @diamondplatnumz akiwa na rafiki zake toka #NIGERIA,” ameandika staa huyo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents