Burudani

Diamond awapoteza P-Square, Waje ammwagia sifa kibao!

Diamond Platnumz yupo kwenye ligi nyingine kabisa sasa hivi. Staa huyo amewapiku mapacha wanaopendwa zaidi barani Afrika kwa views za video yao mpya ‘Shekini’.

Video ya mapacha hao iliyowekwa November 17, hadi sasa ina views 326,669 (zinazoongezeka) na wakati video ya ‘Ntampata Wapi’ ya Diamond iliyowekwa November 20 ikiwa na views 419,935 (zinaongezeka).

Shekini hadi sasa ina comments 313, likes 3523 na dislikes 96 huku Ntampata Wapi ikiwa na comments 805, likes 3458 na dislikes 406.

Wakati huo huo, msanii mwingine wa Nigeria, Waje amemwagia sifa kibao Diamond na kudai kuwa alimshawishi kutoitoa ngoma yao kabla ya kufanya video yake kitu ambacho anakishukuru.

“My #MCM is @diamondplatnumz from Tanzania. We have a song together that hasn’t been released yet and thanks to this man who made sure my excitement didn’t let me release it without a video. Now the excitement has doubled emojiemojiemoji shout to you my brother, your work ethic is inspiring. #perfection should always be the goal not a fluke,” ameandika Waje.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents