Burudani

Diamond atoa siri ya mafanikio yake, ‘Asikudanganye mtu eti ni kipaji tu, hapana!…’

Diamond Platnumz ni msanii mwenye mafanikio makubwa sana kwa sasa, lakini yawezekana kuna wengi hawajawahi kusikia ni wapi alikotokea au ni ugumu gani alioupata kabla hajatoka.

diamond

Kupitia Instagram Nasib Abdul ameshare kidogo siri ya mafanikio hayo ambayo amesema hayakuja kirahisi.

“Asikudanganye mtu eti ni kipaji tu, Hapana! ni juhudi, Heshima na kumtanguliza mwenyezi mungu mbele…. kumbuka hata mimi kabla ya mwaka 2009 nilisha toa zaidi ya Nyimbo 8, lakini zoke zikafeli… ila sikuzote nilijikaza na kujifunza kupitia makosa na hadi leo kufikia Hapa… #USICHOKE #Kwani_Ye_Aliwezaje”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents