Diamond Platnumz

Diamond atembelea watoto yatima na kula nao chakula cha mchana

Diamond Platnumz leo amerudisha fadhila kwa jamii kwa kuwatembelea watoto yatima waliopo Buguruni jijini Dar es Salaam na kula nao chakula cha mchana.

k

Pamoja na kula nao, Diamond aliwapa fursa watoto hao ya kuitazama video yake ya ‘My Number 1’.

“Siku yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu Kilichopo Buguruni, ambapo nilikula nao chakula cha mchana, tukacheza na Kwa mara ya kwanza nikawapa fursa ya kutazama video yangu Mpya ya Number one remix,” aliandika kwenye Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents