Habari

Diamond atajwa na Channel O miongoni mwa wasanii walioubadilisha muziki wa Afrika

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliobadilisha muziki wa Afrika, kwa mujibu wa kipindi cha Top 10 Most cha Channel O.

image

Kituo hicho kimemweka Diamond katika nafasi ya 10 pamoja na Fally Ipupa kwa wimbo wake Number One aliomshirikisha Davido.

Hii ni orodha nzima.

10. Diamond na Fally Ipupa
9.Mafikizolo na Flavour
8.Ice Prince na Naeto
7.Tiwa Savage na Wizkid
6.Dj Jimmyjat na Dj Waxxy
5.Banky W na P-Square
4.Knaan
3.D’Banj na Don Jazzy
2.Boom Shaka
1.2 Face Idibia

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents