Burudani

Diamond atajwa kuwania tuzo za ‘Uganda Entertainment Awards 2015’, kuchuana na Wizkid

Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo zingine za Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment Awards 2015 (UEA).

UEA-2

Platnumz anawania kipengele cha Best African Act, akichuana na Wizkid (Nigeria), Patoranking (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria) na Active.

UEA-1

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Septemba 4, 2015 katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort (Speke Ball) jijini Kampala, Uganda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents