Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Diamond Platnumz

Diamond amwandikia Penny ujumbe ‘mtamu’ wa birthday, wanasema, ‘it’s the best birthday message ever’

By  | 

Perhaps this is one of the reasons why chicks love this dude. He is a sweet talker! Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.

71ff8372b46e11e28a6422000a9e08ee_7

“Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,” ameandika hitmaker huyo wa Kesho.

“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”

Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake. Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:

“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”

Wameandikaje followers wake?

rayonduru: This is if not one of the best then the BEST bday message I have ever read…@vpenny04 u r one lucky woman…hbd too!

Fresh120media: Kaka since nikujue kimuziki na mambo mengine sikuwahi kuona umetoa maneno mazuri kwa mpenziwe kama hya , sure ur now grown up and ur becoming now a gentleman i wish i could screenshort this and send it to the world . And @vjpenny04 keep the same focus u have for @diamondplatnumz now the world is looking for you guys and kuna vijana watapenda kuiga mfano wenu. So pray to God ili muweze kufikia malengo yenu . Happy birthday @vjpenny04.

mars80z dah nimesoma hii sms nimesikia kutoa macho wallah,…,hadi mwili umesisimka…ni maneno matamu, ya busara na ukarim yaliyotoka kwenye kinywa cha mtu aliejaa mapenzi tele…..duh aisee… anyway Hbd penny live long [email protected]

igitana: Woow only a real man says those words,that surely touched my heart…and It takes only a real man to know a real woman,kila la Kheri,happy birthday Penniel.

rugambwagodfrey: Bhaaaaaaaaas! @diamondplatnumz umetisha sana na huu ujumbe! Wa kibaba sana! Wen i was reading i was like Omg!!! Dis is the best message ever homie! Unajua sana mzazi! Wishing u all the best in ya relationship guyz! And May God guides u guyz! Bhaaaaaaah! Happy birthday @vjpenny04 wshing u all the best shem.

HAPPY BIRTHDAY PENNY.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW