Burudani

Diamond aahidi jambo zito kwa mashabiki wake

Diamond amewaahidi mashabiki wake kuachia albamu yake ambayo anasema itakuwa moto wa kuotea mbali hivi karibuni.

Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ amesema hayo kupitia mtandao wa Instagram, wakati akiwashukuru mashabiki wake kwa kufanikisha video ya wimbo wake ‘Kidogo’ aliowashirikisha P Square kufikisha views milioni 10 kwenye mtandao wa Youtube tangu ilipotoka miezi minane iliyopita.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:

#KIDOGO ft @peterpsquare & @rudeboypsquare 10 Million view now!!! Damn i can’t wait for my next release!!! Album of the CENTURY!!!!???? you can stream and buy this song on @wasafidotcom @itunes @Deezer @spotify @Vevo and all digital platforms

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents