Burudani

D’Banj kuwadondosha Amber Rose na Blac Chyna Nigeria weekend hii

Staa wa Nigeria, D’Banj anatarajia kuwadondosha Amber Rose na Black Chyna nchini Nigeria kwenye event yake ‘10th Anniversary Movement’ itakayofanyika weekend hii Jan 31, 2015 jijini Lagos.

Amber n Chyna
Amber Rose na Blac Chyna

Ex wa rapper Wiz Khalifa, Amber Rose ndiye atakuwa host wa shughuli hiyo. Kupitia Instagram Amber amethibitisha kwenda Naija kwa kuandika:
Amber Nigeria
amber insta

“Lagos, Nigeria I’m coming to Turn Up with my Friend D’banj January 31st for His 10th year Anniversary Weekend! #1 Kokolet @tmerritt234”.

Amber Rose ambaye amezaa na rapper Wiz Khalifa na Chyna aliyekuwa na uhusiano na rapper Tyga walianza kuwa karibu sana baada ya mahusiano na wapenzi wao kuvunjika mwaka jana 2014.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents