Burudani

D’banj apanga kufungua kesi dhidi ya kampuni ya simu

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, D’banj amepanga kuishtaki kampuni ya mtandao wa simu kwa kosa la kutumia kazi zake bila makubaliano.

BEVERLY HILLS, CA - APRIL 07:  Musician D'banj performs at the Launch Party and fashion show for designer Chris Aire's "Hollywood Glamour Collection" at the Beverly Hills Hotel on April 7, 2010 in Beverly Hills, California.  (Photo by Frazer Harrison/Getty Images) *** Local Caption *** D'banj

D’Banj ambaye pia ni host wa kipindi cha Lip Sync Africa, kinachoruka kupitia kituo cha televisheni, MTV amepost ujumbe kwenye akaunti yake ya Instagram uliosomeka, “A certain telecom in Nigeria has been milking off my sweat illegally and I just caught them. This isn’t funny. I ‘ii take action soon.”

d1

Hivi karibuni pia tumeshuhudia wasanii wa Bongo Fleva, AY na Mwana FA waliishtaki kampuni ya mtandao wa simu hapa ya Tanzania kwa kutumia kazi zao kinyume na sheria na kuamriwa kulipwa kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 2.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents