Habari

Davido kuja Tanzania kwa mara nyingine tena

Hitmaker wa ‘Skelewu’ Davido wa Nigeria anatarajia kuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena.

1173075_624316654347887_1112875570_n

Mwaka jana msanii huyo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo haijaweza kujulikana mapema iwapo atakuwepo pia kwenye Fiesta ya Dar mwaka huu. Kuna tetesi zingine kuwa kituo kingine kikubwa cha redio cha Dar ndicho kinamleta.

“Paris was great next stops!! LONDON-LAGOS-WARRI-SOUTH AFRICA-NAMIBIA-TANZANIA Lego,” ameandika staa huyo kwenye Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents