Burudani

Davido ampongeza Wizkid kwa kutoa album mpya

Davido amethibitisha kuwa hana kinyongo cha mafanikio ya msanii mwenzake Wizkid ambaye wiki kadhaa zilizopita wamekuwa wakirushiana vijembe kupitia Twitter, na baadae kila mmoja kukana kutokuwa na beef na mwenzie katika mahojiano waliyofanyiwa hivi karibuni kwa nyakati tofauti.
davido

Davido ametumia akaunti yake ya Twitter kumpongeza Wizkid na P-Square ambao wameachia album zao mpya na kuwaombea Mungu awabariki.

davido tweet

Album mpya ya Wizkid inaitwa AYO na album mpya ya P-Square inaitwa DOUBLE TROUBLE.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents