Burudani

Davido aajiri meneja mpya baada ya kumpiga chini Kamal

Saa 24 baada ya kutumia Snapchat kuelezea kummwaga meneja wake wa zamani, Kamal Ajiboye na kuwachana Sony Music, Davido ameajiri meneja mpya.

Davido amemteua Ayo George ambaye hana jina kubwa kuwa meneja wake mpya. Awali alisema kuwa atajisimamia mwenyewe na kudai kuwa hana mpango na soko la kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents