Burudani

Darassa: Nitafurahi kama Roma atakata ‘mauno’ kumzidi Bob Junior kwenye video ya ‘Maumivu’

Rapper Darassa amemshauri mwenzie Roma Mkatoliki kuwa serious hata ikibidi kukata mauno kwenye video ya wimbo ‘Maumivu’ aliofanya na Bob Junior.

bobjunior

“Mimi napenda muziki wa aina yoyote na ninaweza kusikiliza muziki wa Bob Junior nikiupenda sina tatizo, napenda muziki mzuri,” Darassa amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV. “Kwenye video nitapenda sana kama Roma akahakikisha Bob Junior hamzidi kwenye viuno, yaani nitapenda sana kama Roma atakuwa serious, ahakikishe analeta changes kwenye hii tasnia.”

Unadhani Darassa alikuwa serious alikuwa ni utani kwa Roma?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents