Habari

Dada wa Diamond, Esma afunga ndoa na mfanyakazi wa kampuni ya Wema, Petit Man

Hatimaye dada wa msanii Diamond Platnumz aitwaye Esma amefunga pingu za maisha na meneja wa msanii Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu,Endless Fame Films aitwaye Petit Man.

esma-1
Mtu na mke wake (Esma na Petit Man)

Petit Man alishare habari hiyo kupitia Instagram:

@petitman-wakuache “Namshukuru mungu kwa kila jambo na leo naomba nitoe tamko rasmi kuwa @esmaplatnum ndio mke wangu kipenzi nampenda sana na ndomaana nipo Nae pia nashukuru kwa team yangu @endlessfame na wote waliosupport na piaaa @martinkadinda @wemasepetu nawapenda sana na bila kisahau dada angu kipenzi na mama angu kipenzi @teddygipson namalizia kusema niko nalala….

esma-10

Esma naye alipost:

esmaplatnum-namshukuru sana mamaangu kwani yeye ndo kila kitu ktk maisha yangu pia nashukuru ndugu zangu wote kwa kuwa pamoja na mimi ktk hii shughuli nashukuru pia my lovely husband nampenda sana @petitman_wakuache …. tulianza km mchezo yamesemwa mengi but ndo mambo ya binadamu… pia siwezi msaahau mtu mmoja @auntyezekiel wee mwenyewe unajua… my lovely wiii @wemasepetu thank uuu @romyjons @diamondplatnumz nawapenda sana hamkuniacha nyuma mlikuwa pamoja nami… tupendane kweli kweli wabaya waulizane… nawapenda na nyie hapo mashabiki zangu.

esma-2

Diamond ambaye yuko Uingereza amempongeza dada yake na kumuahidi kuwafanyia sherehe kubwa pindi atakaporejea,

<strong>diamondplatnumz-Mwenyez mungu aendelee kukusmamia na kukuongoza katika kila la kheri na jema ulifanyalo…. Mdogo ako still niko mbali nahangaika na maisha… japo skuwepo lakini amini nafsi na roho yangu ilikuwepo… Get ready for your present, na History party!!! love you my beautiful & luvly sis @esmaplatnum

esma-9
Petit man, mama Diamond na Esma

Wema naye aliandika:

wemasepetu-Wat can I say…. Im super happy for you two…. Wenyewe mlianza kimasihara maskini…. Who would ve known dat itafika hii siku and now mmehalalishwa…. Wow….!! Proud of u toto and to you my beautiful Esma, I wish u nothing but happiness…. Nawapenda sana… and nawatakia kila lililo lenye khery… Mpendane na muheshimiane katika maisha yenu ya ndoa… Ndoa ni baraka na naomba mwenyezi mungu awafungulie kila kulipofungwa na awatie ujasiri…. muishi kwa amani na upendo hadi pale kifo kitakapowatenganisha…. dah hadi machozi yamenitoka… im sooo happy for u both… love you guys alot…. @petitman_wakuache @esmaplatnum

esma-6

esma-3

esma-11

esma-7

esma-8

esma-5

esma-4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents